Je kwanini huwa vigumu kwa mwanamke kusema 'La ' kwa unyanyasaji wa kinjisia kazini

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Je_kwanini_huwa_vigumu_kwa_mwanamke_kusema_%27La_%27_kwa_unyanyasaji_wa_kinjisia_kazini

Kuna sababu nyingi zinazomsababisha mwanamke kutosema 'La' kwa unyanyasaji wa kijinisia kazini, baadhi yazo ni:

  • Kuogopa kupoteza kazi, sababu anahitaji kazi hiyo kuisaidia familia yake na yeye mwenyewe.
  • Huenda alilelewa kwa kufunzwa kuheshimu matakwa ya wakubwa wake na wanaume walio na mamlaka.
  • Mwanamume huyo anaweza kuwa wa jamaa yake, na mwanamke anaweza kuogopa kukataa au malalamishi yatakayo chora picha mbaya yake.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030126