Je nawezaje kutengeneza stovu ya roketi ambayo inapunguza moshi

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Je_nawezaje_kutengeneza_stovu_ya_roketi_ambayo_inapunguza_moshi

huu ni mfano mmoja wa stovu ambayo ni rahisi kutengeneza. Unaweza izoesha mafuta ambayo hutumia na vifaa ambavyo hupatikana kwa area yako.

Unahitaji:

  • mkebe mkumbwa kama mkebe wa mafuta ya kupima, soy sosi, mkebe mkubwa wa rangi ( ukiwa umesafishwa vizuri) ama mkebe ambao hutumika kuleta bithaa za hospitali. huu utakuwa ni mwili, cinderbloki au matofali yanaweza tumika, lakini mkebe mkubwa ni mzuri kwa sababu ni mpana na huchukui moto mwingi.
  • mfereji wenye upana wa inchi nne na ukiwa umeinama kwa digrii tisini. pipu kwa upande mmoja unafaa uwe mrefu kuliko pipu ya upande ule mwingine. Pia utahitaji pipu ndefu ya kuunganisha kwa upande mfupi ya pipu. hii pipu itatumika kutengeneza chumba cha kuchoma chemni ya stovu yako. ( kopo 4 au 5 vifuniko vyake vya juu na chini vilivyokatwa zaweza kutumiwa kama pipu badala ya pipu za stovu.
  • kikombe kama jivu la mbao mawe ya pumaisi, wafu matumbawe, vamiculiti, aluminiumfolie.
  • vibakuli na vifunguaji ya kukata chuma.
  • vyuma vingine vya kutengeneza sketi kwa nyungu.
  • wavu nyembamba au nono kiasi cha juu ya stovu wakati nyungu inawekelewa wakati wa mapishi.

Jinsi ya kutengeneza stovu. unaweza kufungua au kikatio cha mkebe ili kutoa kibobo kutoka kwa mkebe. Kata inchi nne kuzunguka shimo katikati ya kibobo ili kupata chimni. Kata nyingine ya inchi nne ukizunguka chimo upande wa chini kwa mbele kwa mkebe, kama inchi moja juu.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030106