Je ni vipi mazingira yasiyo salama kazini yaweza kuharibu afya yangu

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Je_ni_vipi_mazingira_yasiyo_salama_kazini_yaweza_kuharibu_afya_yangu

Viwanda vingi viko na mazingira yasiyo salama kwa kufanya kazi, kama vile:

  • Madirisha na Milango iliyofungwa, ambapo huwa vigumu kwa wafanyikazi kutoroka nje wakati wa dharura, na ambayo huzuia hewa safi kuingia.
  • Kufanya kazi mahali kuna sumu inayowakodolea macho, kama vile kemikali na mionzi, bila kizuizi au nguo za kuzuia.
  • Vifaa visivyo salama.
  • Hatari ya moto, kama nyaya za stima zilizolegea au kemikali au mvuke unaochoma kwa haraka.
  • Hakuna maji safi, choo au wakati wa kupumzika.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030123