Je nifanye nini wakati hedhi zangu zitakuja baada ya muda mrefu au zikome

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Je_nifanye_nini_wakati_hedhi_zangu_zitakuja_baada_ya_muda_mrefu_au_zikome

Hedhi kwa kawaida huja kila baada ya siku 21 au 35. Ni kawaida kuwa na hedhi inayokuja baada ya siku zaidi. Lakini, huenda kuna shida, ama wewe ni mja mzito, ikiwa hedhi zako hazitakuja kabisa.

SABABU ZINAZOKISIWA.

  • Labda wewe ni mja mzito.
  • Labda mimba yako inaharibika.
  • Labda mbegu ya uzazi haijatoa yai.
  • Labda unaugua - malaria, kifua kikuu au ugonjwa tegemezi kutokana na UKIMWI.
  • Ikiwa umri wako ni miaka 40 au 45, huenda unakaribia kukomaa kwa hedhi.
  • Mbinu fulani za upangaji uzazi - kama vile tembe na sindano - huweza kufanya hedhi kuja baada ya muda mrefu sana.
  • Mabadiliko katika lishe pia hubadilisha hedhi.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010224