Jinsi gani tunayoweza zuiai maumivu ya mwili kutokana na ubebaji wa vitu vizito

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Jinsi_gani_tunayoweza_zuiai_maumivu_ya_mwili_kutokana_na_ubebaji_wa_vitu_vizito

Jinsi ya Kubeba kwa usalama:

Ni rahisi kuzuia maumivu ya mgongo kuliko uponyaji wake. wakati wowote, inawezekana miguu ifanye kazi ila si mgongo.

  • Tumia misuli ya miguu - si misuli ya nyuma - wakati unanyanyua kitu. Wakati unainua vitu au watoto kutoka kwa ardhi, piga magoti au chuchuma nusu ili kuinyanyua kuliko kuinama.
  • Hakikisha mgongo, mabega na shingo iwe imara kwa uwezo.
  • Usibebe au kunyanyua vitu vizito wakati wa ujauzito au baada tu ya kujifungua.
  • Tafuta msaidizi unapohitaji kunyanyua vitu vizito. unaweza hisi rahisi kubeba kitu kizito wewe mwenyewe. Ila baadaye, utapoteza wakati baada ya kupatwa na maumivu ya mgongo.

Jinsi ya kubeba kwa usalama.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030109