Kuavya mimba ni nini

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Kuavya_mimba_ni_nini

Kukosa habari kuhusu huduma za upangaji uzazi na pia habari zinazo husu ngono wakati mwingine huwafanya wanawake kupata mimba wasizozitaka na kuavya mimba.

Wakati mwanamke anapofanya kitu ili kukatiza mimba, hii inaitwa 'kuavya mimba'. Neno Kuavya mimba hutumika ili kueleza kitendo kilichopangwa.

Kukamilika kwa mimba bila kujua hujulikana kama 'kuharibika kwa mimba'.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020202