Kwa nini wanawake walio na ulemavu mara nyingi hukabiliwa na matatizo ya misuli

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Kwa_nini_wanawake_walio_na_ulemavu_mara_nyingi_hukabiliwa_na_matatizo_ya_misuli

Baadhi ya wanawake-kwa mfano, wale ambao wanakabiliwa na arthritis au viboko, au walio katika kitanda kwa sababu ya UKIMWI au uzee-huwa na ugumu wa kusongeza mikono yao na miguu vyakutosha ili kutunza viungo vyao kwa urahisi. 

Wakati hili litendekapo, na mkono au mguu umekunjwa kwa muda mrefu, baadhi ya misuli huwa fupi na kiungo husika kutoweza kunyooka kama kawaida. Au misuli mifupi hushikilia kiungo kisijikunje. Hii inaitwa "kukakamaa" wakati mwingine ukakamavu husababisha maumivu.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw011108