Lishe bovu linawezaje kusababisha magonjwa

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Lishe_bovu_linawezaje_kusababisha_magonjwa

Kwa sababu wanawake na wasichan hupata chakula kidogo - chakula ambacho sio kizuri - kuliko mahitaji yao, ni rahisi kwao kuumgua. Hapa kuna orodha ya magonjwa yanayosababishwa na lishe bovu:

  • ukosefu wa damu
  • beriberi
  • damu kwenda kasi mwilini
  • kiharusi
  • gallstones
  • kisukari
  • baadhi ya saratani
  • arthritis
  • mifupa dhaifu
  • kuvimbiwa
  • vidonda vya tumboni, kiungulia (asidi)
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010414