Je nawezaje kuepuka ugonjwa aina ya 'piles' hemorrhoids

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Hemorrhoids ni ugonjwa unaohusisha kufura kwa mishipa ya pale choo hupitia. Mishipa hii huwasha, utahisi ni kama unachomeka, au hutoa damu. Unapokosa kwenda haja kubwa, shida hii huwa mbaya zaidi.

Namna ya kuizuia:

  • Kaa ndani ya beseni ya maji baridi ili kutuliza maumivu.
  • Fuata maagizo uliyopewa hapo juu ya kuzuia shida ya kukosa kwenda haja.
  • Loweka kitambaa kwenye maji ya mti aina 'witch hazel', ikiwa unaweza kuupata, na ukiweke kitambaa hicho mahali unahisi maumivu.
  • Piga magoti na uelekeze matako yako hewani. Hii pia husaidia kupunguza maumivu.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010712