Je nawezaje kukabiliana na hisia zangu baada ya kitendo cha kujiua
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Baada ya kumpoteza mpendwa wako, kiwango cha mawazo huwa juu sana. Hapo mwanzo, hisia za kumpoteza mpendwa aliyejiuwa zitakushtua, lakini hisia za kumpoteza mpendwa, hasira, kuchanganyikiwa, majuto na huzuni yaweza kukudhoofisha. Na huo sio mwisho wa mawazo, sababu itabidi ukabiliane na unyanyapaa unaohusishwa na kujiua.
Zifuatazo ni njia zinazoweza kukusaidia ukabiliane na mawazo.