Je ni Vitamini na Madini gani muhimu kwangu
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Kuna vitamini na madini aina 5 ambayo akina mama wanahitaji, haswa wale ambao ni waja wazito au wananyonyesha.
5 hizo ni: iron, folic acid (folate), calcium, iodine na vitamini A