Unapokuwa mjamzito mwili wako hubadilika na huenda ukawa na baadhi ya matatizo yafuatayo. Lakini kumbuka, mengi ya matatizo haya ni ya kawaida katika ujauzito.
Kuumwa na tumbo(kichefuchefu au kizunguzungu)
Kiungulia au tumbo kuvimba.
Kuvimba kwa mishipa
Haja kubwa kuwa ngumu (ugumu kupita kinyesi)
Marundo (bawasiri)
Maumivi miguuni
Maumivu ya chini ya mgongo
Uvimbe wa miguu
Sources
Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.