Je ni shida gani za kiakili kawaida kwa wanawake

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Ingawa kuna aina nyingi za shida za kiakili, zile za kawaida huwa ni wasiwasi, huzuni na utumizi mbaya wa pombe na mihadarati. Katika jamii nyingi, wanawake huathirika sana na wasiwasi na huzuni kuliko wanaume. Lakini, wanaume wanaweza kuwa na shida ya kutumia pombe na mihadarati vibaya, kuliko wanawake.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw011507