Je ni vipi ambavyo naweza kuimarisha usafi wa maji ya kunywa na ya kupikia

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Maji safi ya kunywa yanaweza kuzuia viini na kuharisha. Mahali pa kuchota maji lazima kuw karibu na jamii, ili watu waweze kupata maji kwa urahisi.

Ili kuhakikisha kuwa maji ya kunywa na ya kupikia ni safi:

  • usiwache wanyama waende karibu na majali pa kuchota maji. Ikiwezekana, jenga ua ili wasiingie pale.
  • usioge, wala kuosha nguo, sufuria, au sahani za kula karibu na mahali pa kuchota maji.
  • usiende haja kubwa au kutupa takataka karibu na mahali pa kuchota maji.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010107