Je ni vipi usafi katika jamii haswa usafi wa vyoo waweza kuzuia magonjwa - Audiopedia
Shida nyingi za kiafya zinaweza kutatuliwa vyema katika jamii. Jamii inaposhirikiana kuimarisha usafi, kila mtu anafaidika. Kwa mfano:
- Kutafuta maji safi ya kunywa na ya kupika.
- Kwa kuzoa taka kwa njia inayofaa.
- Kwa kuondoa maji taka ambayo yanafurika baada ya kufua nguo, tairi za magari na mabomba yaliyo wazi.
- Kwa kuhimiza ujenzi wa vyoo katika jamii.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010106