Je nini umuhimu wa kunywa maji mengi katika miaka yangu ya uzeeni
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Kiwango cha maji mwilini hupungua mtu anavyozidi kuzeeka. VIle vile, baadhhi ya watu wenye umri mkubwa hunywa maji kidogo ili kuepukana na kwenye haja ndogo usiku au kwa sababu wanaogopa kufuja mkojo. Mambo haya yote yanaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini. Ili kuzuia haya, kunywa galsi 8 za maji or vikombe vya majivikombe au glasi 8 za maji kila siu. Ili kuepuka kuamka usiku kwenda haja ndogo, jaribu usinywe chochote masaa 2 hadi 3 kabla ya kwenda kulala.