Je nitaenda kwa uchunguzi wa kiafya mara ngapi wakati mimi ni mja mzto
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Ikiwa wewe ni mja mzito, nenda kwa uchunguzi wa kiafya angalau mara 3:
1. Unapogundua kuwa wewe ni mja mzito. 2. Unapofikisha miezi 6 ya uja uzito. 3. Mwezi mmoja kabla ya kujifungua.