Je usafi unawezaje kuzuia magonjwa

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Magonjwa mbali mbali huenezwa kwa njia tofauti. Kwa mfano, vijidudu vinavyoleta Kifua Kikuu au TB huenea kwa njia ya hewa. Chawa na Upele huenea kwa njia ya kushiriki au kutumia pamoja nguo na matandiko ya muathiriwa. Usafi wa mazingira (au jamii), usafi nyumbani na pia usafi wa kibinafsi ni muhimu sana kwa kuzuia magonjwa kwa kusitisha usambazaji wa vijidudu.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010103