Je vipi nitakavyoacha kutumia kidonge
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Ikiwa unataka kubadilisha mbinu au kupata mimba, acha kutumia dawa wakati utakapomaliza hiyo pakiti. Unaweza kupata mimba baada ya kuacha. Wanawake wengi ambao huacha kutumia vidonge kwa sababu wanataka kupata mimba, hupata mimba wakati mwingine katika huo mwaka wa kwanza.