Jinsi gani naweza kufanya mbinu zote za kiasili za upangaji uzazi kufanikiwa - Audiopedia
Ili mbinu za kiasili za upangaji uzazi kufanikiwa:
- Husika na tendo la ngono kati ya wakati mwili wako hauwezi kushika mimba na siku zako za hedhi zijazo.
- Tumia mbinu ya kamasi na ile ya kuhesabu siku kwa wakati mmoja.
- Tumia kondomu/mpira wakati wowote ule hauna uhakika ikiwa mwili wako uko tayari kushika mimba, au usishiriki tendo la ngono.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw020508