Jinsi gani viini vinavyo sababisha magonjwa husambaa - Audiopedia
Magonjwa mengi yanasambazwa kwa viini hivi kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwengine. Namna viini husambazwa:
- Kwa kumgusa mtu aliye athirika
- Kupitia hewa (kwa mfano mtu anapo kohoa, viini katika mate vyaweza enea kwa watu wengine au vitu vingine.)
- Kupitia nguo, vitambaa au malazi
- Kupitia kuumwa na wadudu au wanyama
- Kwa kula chakula ambacho kina viini.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010104