Kuna umuhimu gani wa kuondoa maji yaliyosimama mahali ninapofulia nguo tairi nzee na vyombo vilivyo wazi
From Audiopedia
Homa ya malaria na ya dengue husambazwa na mbu, ambao huzaana kwenye maji ambayo yamesimama. Ikiwezekana, lala ndani ya neti.