Kupanga uzazi ni nini
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Kuwa na idadi ya watoto unahitaji, wakati unapowahitaji ndio maana ya upangaji uzazi. Ukiamua kuwa na subira ya kupata watoto unaweza kutumia njia mbadala za kuzuia uja uzito. Njia hizi zinafahamika kama njia za upangaji uzazi, mbinu za kupanga muda wa kupata mtoto baada ya muda fulani au mpango wa uzazi.