Kwa nini nisubiri kuolewa
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Ongea na familia yako kuhusu wakati ambao utakuwa tayari na utakapo pata mchumba unaye mtaka/mpenda. Wasichana wengi huweza kumaliza shule na kupata ajira kabla ya kuanza familia. Hii itakusaidia uweze kujijua na kujielewa na kujua unachotaka na maisha yako. Ikiwa utasubiri unaweza kumpata mchumba ambaye mko na matarajio sawa.