Kwa nini vitamini A ni muhimu kwa mtoto wangu

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Watoto wanahitaji vitamini A kuwasaidia kuwakinga kutokana na magonjwa, kuyalinda macho yao na hatari ya kifo. Vitamini A inapatikana katika baadhi ya mboga na matunda, mafuta, mayai, vyakula vya maziwa, maini, samaki, nyama na maziwa ya mama. Maeneo ambayo vitamini A haipatikani, tembe zilizo na virutubisho hivi lazima vipewe mtoto baada ya kila miezi nne na sita kwa watoto wa umri wa miezi 6 hadi miaka 5.

Sources