Kwanini nisubiri kupata watoto

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Ni rahisi kumlea mtoto ambaye yujo na furaha na afya bora wakati wewe na mchumba wako mnahisi mko tayari kuanzisha familia. Kama unafikiria kupata mtoto, haya ndiyo mambo unayo paswa kujua:

  • Je utaweza kuendelea na masomo yako?
  • Vipi utaweza kutimiza mahitaji ya mtoto-chakula, mavazi, malazi na vingineo?
  • Je, uko tayari kumpa mtoto mapenzi ya kijinsia atakayo hitaji ili awe mtoto aliye na afya?
  • Je, mchumba wako atajitolea kusaidia kumlea mtoto?
  • Familia yako itakusaidia vipi?
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020808