Kwa sababu wanawake na wasichan hupata chakula kidogo - chakula ambacho sio kizuri - kuliko mahitaji yao, ni rahisi kwao kuumgua. Hapa kuna orodha ya magonjwa yanayosababishwa na lishe bovu:
ukosefu wa damu
beriberi
damu kwenda kasi mwilini
kiharusi
gallstones
kisukari
baadhi ya saratani
arthritis
mifupa dhaifu
kuvimbiwa
vidonda vya tumboni, kiungulia (asidi)
Sources
Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.