Mbinu za kuzuia mimba za upangaji uzazi hufanya kazi vipi

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Mbinu za kuzuia mimba hufanya kazi kwa kuzuia shahawa ya mwanamume kutofikia yai.

Haibadilisha jinsi mwili wa mwanamke au mwanamume unavyofanya kazi, na husababisha madhara kidogo sana. Mbinu za kuzuia mimba ni salama ikiwa mwanamke ananyonyesha. Nyingi ya mbinu hizi hukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa pamoja na virusi vya ukimwi.

Mwanamke anapotaka kupata mimba, yeye huacha kutumia mbinu za kuzuia mimba.

Mbinu za kuzia mimba za kawaida ni pamoja na kondomu, kondomu za wanawake, diaphragm na spermicides.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020409