Mbona niendee kwa huduma za ujauzito wakati ningali mjamzito
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Huduma ya kabla ya kujifungua ni muhimu sana kwani husaidia kutatua shida mapema - kabla hazijakuwa hatari. Huduma nzuri sio ngumu kuipeana na haihitaji vifaa ghali. Inaokoa maisha.
Huduma ya kabla ya kuzaa hukusaidia kuchagua mahali utakapoenda kujifungua: nyumbani, katika kituo cha afya au hospitalini.