Mbona nifanye mazoezi katika miaka yangu ya uzeeni

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Ikiwa atafanya mazoezi, basi mwanamke atakuwa mwenye afya njema na mwenye furaha. Jaribu kufanya mazoezi, jiunge na kikundi, au mradi katika jamii. Huu ni wakatai mzuri kwa mwanamke kufanya kazi ili kuimarisha hali ya jamii.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010909