Mbona nifanye mazoezi katika siku zangu za uzeeni

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Shughuli za kila siku kama viel kutembea, kucheza na wajukuu, kwenda sokoni, kupika na ukulima huweza kusaidia kuiweka misuli na mifupa ya akina mamaikiwa yenye nguvu, na huiepusha kutokana na kuganda. Mazoezi ya kila mara pia yatasaidia kuzuia ugonjwa wa moyo na kuimarisha uzani.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010907