Nawezaje kuzuia mkojo unaovuja au kudondoka kutoka kwa uke

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Nawezaje_kuzuia_mkojo_unaovuja_au_kudondoka_kutoka_kwa_uke

Kama kichwa cha mtoto kitafinyika katika ukuta wa uke wakati wa kuhisi uchungu wa kujifungua tishu ya uke yaweza kuharibika.

Mkojo au kinyesi yaweza kuvuja au kudondoka kutoka kwa uke (fistula). Ili Kuzuia hayo, subiri kupata mimba hadi mwili wako upone kikamilifu.

Tafuta msaada wa matibabu ikiwa uchungu wa uzazi utaendelea kwa muda mrefu. Baada ya kujifungua acha nafasi ya angalau miaka miwili kabla ya kupata mimba tena ndiposa misuli yako ipate nguvu.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010210