Ni kwa jinsi gani ninaweza kuharibu afya yangu kwa kuinua na kubeba mizigo mizito

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Wanawake kila mahali wanakabiliwa na matatizo ya mgongo na shingo, kutoka kuinuwa mazito katika kazi zao za kila siku. Kubeba maji, kuni, na watoto wakubwa kwa umbali mrefu kinaweza kusababisha matatizo makubwa.

Wasichana wadogo wanaobeba mizigo mizito, hasaa maji - huwa na matatizo ya mgongo na uti wa mgongo. Mifupa yao ya mapaja pia kukuwa vibaya na husababisha mimba hatari baadaye.

Kubeba mizigo mizito kinaweza kusababisha wanawake vijana kupoteza mimba zaidi, na kinaweza kushusha tumbo ya wanawake wazee na wale ambao hivi karibuni wamejifungua.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030108