Ninafaa kujua nini kuhusu ishara za vurugu
From Audiopedia - Accessible Learning for All
Uhusiano unapokuwa na matatizo, ni vigumu sana kuuachana nao. Mwanamke anapoendelea kuishi na mwanamume, mwanamume naye anazidi kuwa na mamlaka juu yake, na mwanamke anakuwa hajiamini. Wanaume wengine waweza kuwa na vurugu nyingi kuzidi wengine. Kuna ishara zingine humaanisha kuwa mwanamume anaweza kuwa na vurugu. Ikiwa utaona ishara hizi na kuna njia ya kutoka kwa uhusiano huo, fikiria vyema.
Haijalishi ni jinsi gani unavyompenda mtu. Upendo hauwezi kumbadilisha mtu. Mtu mwenye ndiye anaweza kuchagua kubadilika.