Ninastahili kujua nini kuhusu mzunguko wangu wa uzazi kwa kutumia kamasi na mbinu ya kuhesabu siku

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Mwili wa mwanamke huachilia yai kila mwezi.

Yai hilo huachiliwa kutoka kwa ovari yapata siku 14 hivi kabla ya siku za hedhi za mwezi ujao.

Yai hilo huishi yapata masaa 24 hivi(siku moja na usiku mmoja) baada ya kuachiliwa na ovari.

Shahawa ya mwanamume (mbegu) yaweza kuishi hadi siku 2 ndani ya mwili wa mwanamke.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020506