Ninaweza kufanya nini kwa ajili ya usalama wangu wakati wa ghasia

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search

Ikiwa unakisia kwamba atanza ghasia, jaribu kufanya itendeke mahali ambapo hakuna silaha au vitu anavyoweza kutumia kukudhuru na kuwe mahali ambapo unaweza kutoroka.

Fikiria vizuri. Fanya lolote utakalo hitajika kufanya ili kumtuliza ndiposa wewe na watoto wako muwe salama.

Ikiwa utahitajika kukaa mbali na yeye, fikiria jinsi unavyoweza kutoroka. Wapi ni salama kwenda?

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020117