Je nini sababu za ajali za sumu

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Je_nini_sababu_za_ajali_za_sumu

Click Code to Download

Ajali za sumu ni hatari sana kwa watoto wadogo. Bleach, na sumu ya kuua wadudu na panya, mafuta taa na sabuni za kuosha pale nyumbani zinaweza kuua au kusababisha majeraha kwa watoto.

Aina nyingi za sumu zinaweza kuua, kusababisha uharibifu wa ubongo, kumfanya mtu kuwa kipofu au kusababisha majeraha ikwa:

  • zitamezwa
  • zitavutwa
  • zimwagike kwa ngozi
  • zitaingia machoni
Sources