Kwa nini nastahili kuzungumza na wengine baada ya kujitoa uhai kwa mpendwa wangu

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Kwa_nini_nastahili_kuzungumza_na_wengine_baada_ya_kujitoa_uhai_kwa_mpendwa_wangu

Click Code to Download

Kuzungumza na wengine kutakusaidia, kutakupa nguvu na kukusaidia uelewe hisia zako.

Zungukwa na marafiki na familia watakaokusaidia, ongea nao. Jua ya kwamba hauko pekee yako. Tafuta usaidizi wakati wowote utakaotaka. Pata usaidizi kwa watu uwapendao na unaowaamini.

Jiunge na kikundi cha watu waliojaribu kujitoa uhai, ikiwa kipo katika eneo lako. Kikundi hiki kipo na watu waliowapoteza wapendwa wao waliojitoa uhai, kikundi hicho hukutana kila wakati kuzungumzia wasiwasi na mawazo walionao. Wanaweza kuelewa unachopitia, kwani wao pia walipitia hayo na watakusaidia. Ikiwa hakuna kikundi hicho katika eneo lako, waweza kuanzisha kimoja

Kupata tiba (ikiwa itapatikana), zungumza na mhudumu wa afya au kiongozi wa dini wa jamii yako yaweza kusaidia.

Sources
  • Felicitas Heyne, Psychologist
  • Audiopedia ID: sw020919