Nawezaje kuzuia watoto wangu kutojeruhiwa wakisafiri kwa kutumia magari pikipiki au baiskeli

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Nawezaje_kuzuia_watoto_wangu_kutojeruhiwa_wakisafiri_kwa_kutumia_magari_pikipiki_au_baiskeli

Click Code to Download

Watoto pia wako katika hatari ya kupata majeraha wanaposafiri kwanza wanapoketi kando ya dereva kwa garii, wasipochungwa wakiwa wamelala kwa lori, mashine za kilimo au hata kwa pikipiki.

Watoto wanafaa kufungwa mishipi mahususi kulingana na umri wao mpaka wakati ule wamefika kipimo cha mita moja na nusu au wanapofikisha umri wa miaka kumi ambapo wako na uwezo wa kutumia mishipi inayotumiwa na watu wazima.

Unaposafiri na wazazi au walezi kwa pikipiki, kila abiria, watoto wakiwemo wanafaa kuvaa kofia inayositiri kidevu ili kuzuia isianguke ajali ikitokea.

Ajali za baiskeli ziko na mazoea ya kusababisha majeruhi na vifo kwa watoto. watoto wote wanafaa kusoma usalama barabarani na kuvaa kofia ya baiskeli wanapo safiri kwa baiskeli.

Sources