Ni sababu gani za kawaida za kuungua

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Ni_sababu_gani_za_kawaida_za_kuungua

Click Code to Download

Kuungua na kuchomeka ndio baadhi ya sababu za kawaida zinazosababisha majeraha makubwa kwa watoto. Kuchomeka husababisha majeraha ya kudumu, na baadhi ya majeraha hayo ni janga. Mengi ya haya yaweza zuiliwa.

Aina moja ya majeraha ya kawaida ya kuungua ni kutokana na kuguza moto moja kwa moja au miale ya moto au kuguza pahali palipo moto.

Sababu nyingine ya kuungua ni kuchomeka kutokana na miminiko ya moto au chakula.

Watoto wanaweza kupigwa na wimbi la umeme au kuungua iwapo watagusa umeme.

Sources