Ni wakati gani mbinu asili ya upangaji uzazi haitafanya kazi vizuri

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Ni_wakati_gani_mbinu_asili_ya_upangaji_uzazi_haitafanya_kazi_vizuri

Click Code to Download

Mbinu ya kamasi na kuhesabu siku hazifanyi kazi ikiwa:

  • Uko na udhibiti mdogo wakati wa kujamiiana. Wakati mwili unapokuwa tayari kushika mimba, mpenzi wako atahitajika kusubiri na kutojamiiana nawe au atumie kondomu au mbinu nyingine za kuzuia.
  • Ishara/ Dalili za uzazi wako zitabadilika kutoka mwezi hadi mwezi. Huwezi kujua wakati mwili wako uko tayari kushika mimba.
  • Umepata mtoto au mimba yako imeharibika hivi karibuni. Ni vigumu kujua ikiwa mwili wako uko tayari kupata mimba, kwa wakati huu


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020507