Nitajuaje nipo na ugonjwa wa zinaa

Kutoka Audiopedia Swahili
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Nitajuaje_nipo_na_ugonjwa_wa_zinaa

Click Code to Download

Unaweza kuwa na ugonjwa wa zinaa iwapo utashuhudia na dalili zifuatazo;

  • Harufu mbaya au harafu isiyo ya kawaida kutoka kwa uke.
  • Sehemu za siri zinazowasha
  • Kuhisi uchungu katika sehemu za siri
  • Uvimbe au malengelenge kwenye sehemu za siri
  • Kuhisi uchungu sehemu ya chini ya tumbo au kuhisi uchungu wakati wa ngono


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010504