Je ninapaswa kufahamu nini kuhusiana na kujiua
Kutoka Audiopedia Swahili
Pitio kulingana na tarehe 14:33, 17 Februari 2022 na Audiopedia Admin (Majadiliano | michango) (XML import)
QR for this page
Click Code to Download
Kitendo cha kujitoa uhai kwa kukusudia sababu ya kutotaka kuishi kinaitwa kujiua. Imekadiriwa kwamba vifo vya takriban watu milioni moja ulimwenguni kila mwaka huhusishwa na kujiua.
Hii inamaanisha kwamba kwa kila sekunde 40 ulimwenguni, mtu hujiua. Kadhalika, kuna visa milioni 20 vya kujiua kila mwaka vinavyotibuka na idadi hiyo inaongezeka.
Ni vigumu kupata idadi kamili ya visa hivyo kwani familia nyingi huficha maana kamili ya vifo vinavyosabishwa na kujiua, kwa kuhofia kudhulumiwa na polisi na wanainchi.
Huku visa vya kujiua vinapopungua kwa nchi zilizoendelea, visa hivyo vinaongezeka kwa idadi ya kushangaza kwa nchi zinazoendelea kustawi.
Sababu zinazoaminika kusababisha kujiua ni: