Nawezaje kuzuia watoto wangu kutokana na alama za majeraha

Kutoka Audiopedia Swahili
Pitio kulingana na tarehe 14:38, 17 Februari 2022 na Audiopedia Admin (Majadiliano | michango) (XML import)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Rukia: urambazaji, tafuta
QR for this page

https://www.audiopedia.org/sw/Nawezaje_kuzuia_watoto_wangu_kutokana_na_alama_za_majeraha

Click Code to Download

Hizi hapa ni baadhi ya njia zitakazozuia alama kutoka kwa vitu moto au vyakula:

Geuza mahali pa kushikilia sufuria za kupikia mbali na watoto.

Weka vyakula moto na vya majimaji mahali salama mbali na watoto.

Usiruwaruhusu watoto kufungulia maji moto kwa bafu wakiwa pekee yao.

Weka joto ya maji kuwa ya kati ili kuzuia alama ya kuchomeka ikiwa watoto watafunguwa maji ya moto

Wafunze watoto dhidi ya kutocheza karibu na watu wanaotumia vinywaji moto au jikoni chakula kinapoandaliwa.

Usimshike mtoto ukiwa na vinywaji moto au chakula.

Sources